Habari • Trends • Maisha • Social MediaTanzania
MUUNGANISHA WACHUMBA🔎 Tafuta

TERMS

Terms of Use

Kwa kutumia website ya Isaya Muunganisha Wachumba, unakubali kutumia maudhui na huduma kwa njia halali na yenye kuheshimu haki za wengine.

Maudhui

Maudhui yanachapishwa kwa madhumuni ya habari na taarifa. Haki za maandishi, picha, video na assets zinabaki kwa wamiliki wake isipokuwa pale inaposemwa vinginevyo.

External links

Website inaweza kuwa na links za websites au platforms za nje. Isaya haiwajibiki kwa sera au maudhui ya websites hizo.

Marekebisho

Masharti haya yanaweza kusasishwa kadri huduma na mahitaji ya publication yanavyobadilika.